Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
πππ hamna kitu humo huu mtandao inategemea na sehemu mfano ukiwa buguruni hiyo kasi yake nihatari lakini kwengine ni uchafu tu.ukatili TTCL wanaonifanyia yaan nimejiunga GB 10 ili niushushe mzigo wote ila hiyo speed yake ni matusi kwa kweli
Mimi nilikuwa recommended....nikaipenda sana Season 1 hadi 3. Hii ya nne naona wamezingua...wanavuuutaaa au labda mimi nimeichoka.Niko gud sijui upande wako?
dah hiyo kitu imenipitia kushoto kabisa sijui chochote sijawahi ona hata cover wala poster ya hiyo kitu lakini naona watu wanaisifia nzuri ndio maana jana nikamuuliza Goddess kama kashawahi kuiyona anipe maoni yake yy amesema ni mbaya lakini saiz watu wanaishindanisha na PB sasa ndio najiuliza hii series ni overrated au nn hiki [emoji848]
hit and run hazikupi furaha ya muda mrefu.unapata ile satisfcation ya muda huo tu .ukitaka uenjoy mapenzi tafuta mtu wako mmoja ambaye unaweza kuvumilia ukichaa wake na yeye aweze kuvumilia wa kwako then "kaa humo" ila inahitaji uvumilivu na msimamokipi sasa kipendwe kati ya ngono na mapenzi? au ni bora kuwa hit and run?
Tutahamia Buguruni[emoji12][emoji12][emoji12][emoji13][emoji13][emoji13] hamna kitu humo huu mtandao inategemea na sehemu mfano ukiwa buguruni hiyo kasi yake nihatari lakini kwengine ni uchafu tu.
inahusiana na nn kwani ni drama, action au? kwahiyo inahadhi ya kushindanishwa na PB?Mimi nilikuwa recommended....nikaipenda sana Season 1 hadi 3. Hii ya nne naona wamezingua...wanavuuutaaa au labda mimi nimeichoka.
Ukipata mda ichungulie
Yawezekanaukitoa pesa kwa vijana tatizo lingine linalowachanganya ni hili
ππππ ndio maana mm nina lain 3 mpaka sasa nikiona sehemu network ya internet ni tatizo natoa laini napchika ya sehemu hiyo ilikuwa vizuri.Tutahamia Buguruni[emoji12][emoji12][emoji12]
yaan hata siwaelew yaan kubrowse unakimbiza ,kudownload unanyata .juzi niliwafutia GB zote 10 sasa sijui wamenikariri sura wanataka wanikomesheπππ hamna kitu humo huu mtandao inategemea na sehemu mfano ukiwa buguruni hiyo kasi yake nihatari lakini kwengine ni uchafu tu.
Mm nasema mbaya nzuri ilikua 1,2 kila mtu anamaoni yakeNiko gud sijui upande wako?
dah hiyo kitu imenipitia kushoto kabisa sijui chochote sijawahi ona hata cover wala poster ya hiyo kitu lakini naona watu wanaisifia nzuri ndio maana jana nikamuuliza Goddess kama kashawahi kuiyona anipe maoni yake yy amesema ni mbaya lakini saiz watu wanaishindanisha na PB sasa ndio najiuliza hii series ni overrated au nn hiki [emoji848]
Inaboa kuanzia3 mm nilianza kuona mauzauzaMimi nilikuwa recommended....nikaipenda sana Season 1 hadi 3. Hii ya nne naona wamezingua...wanavuuutaaa au labda mimi nimeichoka.
Ukipata mda ichungulie
upuuzi tu kuendekeza basi tu.Yawezekana
aah basi ishanipita hiyo siwezi jisumbua kuangalia season 1 & 2 tu alafu mbele huko ni utopolo.Mm nasema mbaya nzuri ilikua 1,2 kila mtu anamaoni yake
Ni drama/crime...kuiba kwa akili....ili kuvuruga tu serikali na sio kutajirika...inahusiana na nn kwani ni drama, action au? kwahiyo inahadhi ya kushindanishwa na PB?
[emoji38][emoji38][emoji38]aah basi ishanipita hiyo siwezi jisumbua kuangalia season 1 & 2 tu alafu mbele huko ni utopolo.
Salama kabisa za kushinda?Inaboa kuanzia3 mm nilianza kuona mauzauza
Mzima lkn?!
π π π umenogewa sasa leo wanataka mzigo uchache ww upate hasara ndio kinachoonekana hapa.yaan hata siwaelew yaan kubrowse unakimbiza ,kudownload unanyata .juzi niliwafutia GB zote 10 sasa sijui wamenikariri sura wanataka wanikomeshe
Nikajua line 3 na handset 3.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ndio maana mm nina lain 3 mpaka sasa nikiona sehemu network ya internet ni tatizo natoa laini napchika ya sehemu hiyo ilikuwa vizuri.
Basi ipo overrated maana sijui ndio kuna huyo prof ndio watu wanamshindanisha na Michael.Ni drama/crime...kuiba kwa akili....ili kuvuruga tu serikali na sio kutajirika...
Labda sababu ni ya kispaniola ndio maana haiko famous.
PB is something else...siwezi kuishindanisha kwa kweli