JamiiForums Usiku wa manane

Kaka...Mzima?
Money Heist unaifuatilia?
Niko gud sijui upande wako?
dah hiyo kitu imenipitia kushoto kabisa sijui chochote sijawahi ona hata cover wala poster ya hiyo kitu lakini naona watu wanaisifia nzuri ndio maana jana nikamuuliza Goddess kama kashawahi kuiyona anipe maoni yake yy amesema ni mbaya lakini saiz watu wanaishindanisha na PB sasa ndio najiuliza hii series ni overrated au nn hiki 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…