JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeikuta tu sehemu,mkuu nipo kijijini ukisema morroco nikadhani kule kwa waarabu.....huko dasalama nakusikia kupitia media tu
Bhana we ndugu yangu Morocco hapo Kinondoni siunajua nchi yetu hii majina kibao ya watu na miji ya wenzetu ndio tunatoa kwenye vituo vyetu vya usafiri.
 
Usiku mwema wanalindo,Mungu aendelee kutulinda na hili janga,tuache ubishi wa kunawa mikono........

Super Villain kesho naamsha mapema ngoja nilale


View attachment 1394368
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikiitazama hii picha huwa nawaza tofauti na watu wanavyo waza huwa sichukulii kama huyu mwana alikuwa analeta utani lakini ni kwamba hakuwa na hela tu ya kununua mask na kuweza kujikinga aliona hii ndio solution iliobaki na ni rahisi kwauwezo wake.

Na kwako pia mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…