Hapa kanuni Ni tofauti unalipia unakula..hulipii utaishia kunawa..Bora ukale kwa mama ntilie.mm huwa nalipa kutokana na gharama nitakazo zikuta nikikuta kuku naweka 20 hapo mezani kurudishia ule mfuko uliotoa hapo hiyo hela.
God of war nani hamjuiMzee unamjua huyo mtu kwenye avatar yangu hapo [emoji119]
mm niko gud hommie, vp upande wako?
[emoji39] naomba this time usinifanyie uhuni ujue [emoji22][emoji22][emoji22]Haaha nmekumbuka ile kitu yetu yakumininkia na rangi yake ya njanooo ipo imejaaa tele sema glucose ndo hakuna
Nitaleta box 10 kabisa.Haaha nmekumbuka ile kitu yetu yakumininkia na rangi yake ya njanooo ipo imejaaa tele sema glucose ndo hakuna
Hahaha nimecheza sana God of War mwaka 2008.Mzee unamjua huyo mtu kwenye avatar yangu hapo [emoji119]
mm niko gud hommie, vp upande wako?
UleteNitaleta box 10 kabisa.
Dah Tena Niko baharin muda huu mkuu, Niko alone Kuna kiubaridi mwananaAiseee [emoji16]
Niliishia kwenye ile parking pale nikarudi zang
Baharini Now kuna majini hahahahh yatakuvaa Mkuu
Nimekuwa mlevi wakucheza hili game toka nipo o level ninanichangamsha sana akili.God of war nani hamjui
[emoji23][emoji23] basi subiria muhamala kule kesho nije nile [emoji39]Hapa kanuni Ni tofauti unalipia unakula..hulipii utaishia kunawa..Bora ukale kwa mama ntilie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwena usiku mwema bibie.
Mpaka ya mwaka gani umeichezaNimekuwa mlevi wakucheza hili game toka nipo o level ninanichangamsha sana akili.
Wali upo lakini wakutosha?
1,2 & 3 nimecheza ndio nilizo maliza.Mpaka ya mwaka gani umeicheza
Everybody's got a dark side