Hilo jambo la uzushi katika hii dini yetu, kwahiyo ukiwaona watu wanapoteza muda katila hilo, jambo kama ni mtu wa imani unatakiwa kuwaonea huruma na kuwaombea uongofu kwa Mola wao, sababu hawalipwi zaidi ya kupoteza muda na kama wanajua wanachokifanya kwamba hakifai basi wanapata madhambi.Wewe hujaalikwa maulid? Maana jamaa zako hapa wana maulid wamenifanya niwe mlinzi wa kujitolea leo.
Ila si mbaya mcha
Wewe hujaalikwa maulid? Maana jamaa zako hapa wanakesha wamenifanya niwe mlinzi wa kujitolea leo.
Naona pepo la umaskini limenivaa maana si kwa kusinzia huku! Dua zenu tafadhali...Ukiona unakosa usingizi ni ishara ya utajiri boss.
Matajiri huwa hawalali, ila ukiona unalala lala masaa mengi unalala ovyo shtuka umaskini ukata unakunyemelea.
Nimekumiss jamani[emoji847][emoji847]Naona pepo la umaskini limenivaa maana si kwa kusinzia huku! Dua zenu tafadhali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio kaka mkuuKaka hivi hili jina lako carbamazepine linatamkwaje ?
Mimi sio kaka mkuu
Thad,Nimepitia hapa mahudhurio yako mwaka jana AWOL zimekuwa nyingi sana....Rekebisha hiyo. Kuhusu mshahara mbona tangu tar.15 tayari wenzio wamepata itabidi uje ofisini km una shida!Mshahara wangu boss....!
Sijalipwa tangu mwaka huu uanze au mshahara wangu umeupeleka chamani kuunga mkono juhudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hivi hili jina lako carbamazepine linatamkwaje ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio kaka mkuu
Nimekumiss pia kipenzi!Nimekumiss jamani[emoji847][emoji847]
Sawa boss, nitarekebisha.Thad,Nimepitia hapa mahudhurio yako mwaka jana AWOL zimekuwa nyingi sana....Rekebisha hiyo. Kuhusu mshahara mbona tangu tar.15 tayari wenzio wamepata itabidi uje ofisini km una shida!
Kwahiyo tuliokuwepo hapa kabla, tuliruka ukuta au?0000-GATE OPEN.....
Ofisini siku zote mida ni saa8-9.Sawa boss, nitarekebisha.
Ofisini nije saa hizi au nisubiri saa nane nane pakiwa kimya?[emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kuitana ofisini hatutaki, kama vipi nitamsindikizaOfisini siku zote mida ni saa8-9.
Utamkuta secretary jitambulishe tuu ntamwachia ujumbe.