JamiiForums Usiku wa manane

Wewe hujaalikwa maulid? Maana jamaa zako hapa wana maulid wamenifanya niwe mlinzi wa kujitolea leo.
Ila si mbaya mcha




Wewe hujaalikwa maulid? Maana jamaa zako hapa wanakesha wamenifanya niwe mlinzi wa kujitolea leo.
Inapendeza. Kiongozi mtu muhimu sana.
 
Ukiona unakosa usingizi ni ishara ya utajiri boss.
Matajiri huwa hawalali, ila ukiona unalala lala masaa mengi unalala ovyo shtuka umaskini ukata unakunyemelea.
Asante!
Kabisa haunitakii mema kwani tangu uanze kuniandama na ukata nao umeniandama!😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…