Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tutawapikia na chai kabisa na kuhakikisha rooms zote zimefagiwa na kupigwa deki.Kesho asubuhi wataikuta salama kabisa, ikifika saa kumi na moja tutafagiafagia na kupanga viti vya wajumbe kwa ajili ya mijadala ya kesho. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nitamkasimisha mtu jukumu hiloNaona kabisa geti leo atafunga mwingine.
Niko Guda kabisaaGud tu hommie, uko ok na ww pia?
Kwani ww sio mmoja wetu? [emoji15]Wakuu leo pia mnakesha?
Okay nashukuru kama mko salama
Kwenye mkesha?Kwani ww sio mmoja wetu? [emoji15]
That's good pal acha tukesheNiko Guda kabisaa
Mkuu walinzi huwa tunakesha siku zote tuWakuu leo pia mnakesha?
[emoji38][emoji38] mkesha sindio huu kwani ww unazani ni mkesha upi maana saiz ni saa 8 kasoro hii au hujui hilo?Kwenye mkesha?
Kamata [emoji363] hiyo anzaga kupitia pitia majengo kwanza.Naombeni daftari nisign
KaribuNdio naingia sasa
Hapo kwenye deki nadhani tumwachie mkuu Rowin atasimamia vyema. Mimi majina ya wasumbufu ninayo, nitapitishia kaka Mello ofisini kwakeππππ[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tutawapikia na chai kabisa na kuhakikisha rooms zote zimefagiwa na kupigwa deki.
ππ eeh na mvua iliyonyesha Leo huko nyuma si nitakutana na waduduKamata [emoji363] hiyo anzaga kupitia pitia majengo kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23] usisahau na watoro mzee wangu peleka na majina ya MOD nayo usisahau sasa.Hapo kwenye deki nadhani tumwachie mkuu Rowin atasimamia vyema. Mimi majina ya wasumbufu ninayo, nitapitishia kaka Mello ofisini kwake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duh!π na wewe pia ni mdau humu?!Ndio naingia sasa
Ndio maana nikakupa [emoji363] hiyo acha uwoga we mlinzi [emoji23][emoji3][emoji3] eeh na mvua iliyonyesha Leo huko nyuma si nitakutana na wadudu
Mhh nitajitahidiNdio maana nikakupa [emoji363] hiyo acha uwoga we mlinzi [emoji23]