Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kulala utalala ila muda ndio haujulikani sasa [emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna Cha ubora wowote..nipo kitandani alafu Sina usingizi..inaumiza kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalazimisha mapenzi na usingizi[emoji23][emoji23] unakipenda ila we ndio huupendi tu.
Karibu lindoni
[emoji23][emoji23] eti hujui kupenda nusunusu..ila mapenzi bwana mmhh! Yanaumiza Sana.Likizo tu vitu hv vinaumiza sana alafu wengine huwa hatujui kupenda nusu nusu [emoji23] unaingia mwili mzima kichwa mpaka miguu sometime unaona acha niweke kando kwanza hv vitu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hilo nalo neno..alafu muda umavyozidi kwenda ndiyo usingizi unapotea kabisaaKulala utalala ila muda ndio haujulikani sasa [emoji23][emoji23].
Nalazimisha mapenzi na usingizi
[emoji23][emoji23] unataka kufa ww piga misosi bhana achana na stress hizo.[emoji23][emoji23] eti hujui kupenda nusunusu..ila mapenzi bwana mmhh! Yanaumiza Sana..wengine hadi tunashindwa kulal
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaratiba ya kwenda church kwani au ww sio mkristu?[emoji23][emoji23][emoji23] Hilo nalo neno..alafu muda umavyozidi kwenda ndiyo usingizi unapotea kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkristo..Sina ratiba ya kwenda church kwakweliUnaratiba ya kwenda church kwani au ww sio mkristu?
Mara ya mwisho ulienda lini?
[emoji23][emoji23] Natamani ingekuwa rahisi ivyo.[emoji23][emoji23] unataka kufa ww piga misosi bhana achana na stress hizo.
Kwani ugumu unatokea wapi bibie?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupenda jamani..Kwani ugumu unatokea wapi bibie?
Aah! [emoji23][emoji23][emoji23] umegombana na padre nn huko church maana unakaribia mwaka sio kwa uvivu huo.
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna bwana..Ila nimecheka dah!!..Aah! [emoji23][emoji23][emoji23] umegombana na padre nn huko church maana unakaribia mwaka sio kwa uvivu huo.
[emoji23][emoji23][emoji23] unampenda mtu mpaka unataka utoe uhai wako aah hio ni too much.
Usikae mbali sana na mungu weka hata ratiba ya mara 1 kwa kila mwezi tu hapo mbona simple.
Nitaianza mwezi MarchUsikae mbali sana na mungu weka hata ratiba ya mara 1 kwa kila mwezi tu hapo mbona simple.