[emoji23][emoji23][emoji23] ameen..au sijui nisiongeze na Uzi wa kutafuta patina?[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23] basi usijali mpaka Valentine's utakuwa umeshampata.
Usijali hilo tu nitakusaidia kukuweka kwenye maombi yangu ulale mpaka saa 3 asubuhi.Jinsi nitakavyoburuzika na shuka..maana usingizi Sina simu inazima Moto..embu nifanyie maombi nipate lala mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohhh!! HallelujahUsijali hilo tu nitakusaidia kukuweka kwenye maombi yangu ulale mpaka saa 3 asubuhi.
ww tu upendavyo kama naona watu wanavyo jimwambafayi kwenye huo uzi hapo [emoji4] wakishindana kukupata.[emoji23][emoji23][emoji23] ameen..au sijui nisiongeze na Uzi wa kutafuta patina?[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigezo na masharti vitazingatiwa.ww tu upendavyo kama naona watu wanavyo jimwambafayi kwenye huo uzi hapo [emoji4] wakishindana kukupata.
[emoji23][emoji23][emoji23] yote yanawezekana..Sijui ni kwann wanawake mnapenda sana kuwekwa kwenye maombi ya wengine huwa hamjiamini kabisa kusimama mkifanya yenu au ndio imani haba?
Unaweza ukaweka vigezo ukampata unayemtaka lakini asiwe na upendo wa dhati kwako ndipo mnapofeli hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigezo na masharti vitazingatiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hilo unatakiwa ujenge msingi wa imani yako sasa utakuwa unaombewa mpaka lini? Unatakiwa ujifunze kujisimamia na ww kwenye maombi yako.
Ila ujue vigezo muhimu..hayo mengine yatakuja automaticallyUnaweza ukaweka vigezo ukampata unayemtaka lakini asiwe na upendo wa dhati kwako ndipo mnapofeli hapo.
Hivi unadhani wanawake hatujiombei..??!! Tunajiombea na kusimama wenyewe tunaweza ..ila tuna amini pia hata mtu mwingine anaweza kukushirikisha kwenye maombi na yakapokelewa.Tatizo hilo unatakiwa ujenge msingi wa imani yako sasa utakuwa unaombewa mpaka lini? Unatakiwa ujifunze kujisimamia na ww kwenye maombi yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unikumbushe pakikucha maana msahaulifu Mimi..utashangaa Valentine's imepita ndiyo nakumbukaNategemea kuuona kesho huo uzi ukiwa hewani na ss tufanye application [emoji23][emoji23] huko online
Maelezo mazuri nilitaka kujua tu kama unamsingi mzr wa iman na kuamini unachokiamini.Hivi unadhani wanawake hatujiombei..??!! Tunajiombea na kusimama wenyewe tunaweza ..ila tuna amini pia hata mtu mwingine anaweza kukushirikisha kwenye maombi na yakapokelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nita kutumia jumbe pm yako muda saa hii wa kuipandisha hewani hiyo thread yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unikumbushe pakikucha maana msahaulifu Mimi..utashangaa Valentine's imepita ndiyo nakumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado lisaa tu lindoni pafungwe hapa.
Ewaaaah!! Utakuwa umenisaidia sanaNita kutumia jumbe pm yako muda saa hii wa kuipandisha hewani hiyo thread yako.
Ila lindo la leo limepea hatari..pipo hazipo kabisa.Bado lisaa tu lindoni pafungwe hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23] ww kazi yako tayarisha tu huo walaka.