JamiiForums Usiku wa manane

Hahah ole good memories,tukikutana kwny vikao vya kupiga ngano tumakuaga kama watoto kwa ujinga tunaoongea wa kukumbushiana matukio ya miaka hio.
dodge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mzima huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili wanasema Mungu fundi,wazungu na uhuni wao woote lkn kwa maendeleo huwatoi lkn huku watu wanazuga wanasali lkn ki uchumi/maendeleo hali ni tete.
Ndio zao, dini zinawapotezea muda. Africa ukiwa huabudu utaambiwa unaenda motoni. Hayo matendo ya wanaoabudu daily ni bora wakaacha huko kuabudu. Hao ndio wazinzi wanga, wezi, mafisadi, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana. Jamaa alipita viwango vyote vya ufedhuli dadeki. Ila binadamu tuna siri zetu ambazo sometimes tunajiuliza hivi ni mimi kweli nilifanya hilo tukio. Aidha kama tungekuwa tunaandikwa dhambi zetu, hakuna mtu angemsema mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…