Hahah ila waliotoa huo ujumbe pia si wa mchezo mchezo maana wamesema ' Please go home and masterbate if your bored",hahah nadhani nao pia ni member wa chama la wana.Mkuu huku kuna maexpert waliobobea kwenye hiyo fani. Tena hufanya bila aibu. Utasikia I'm bored let me go and masturbate. View attachment 1343919
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweka bamia humo kwenye samaki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiweza pika mpaka na mlenda mzee wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu,conventry enzi hizo watu walijipatia maujiko sana sababu ya hio kitu mkuu.Kila kitu kina faida na hasara mkuu. Mi mwenyewe nataka nijichukulie ujiko kwa semu flani nimemualika lunch. Nikamwambia najua kupika kinoma. Nitamtolea chipsi yai dadeki.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo si ugali ukifika tumboni mzee wangu mahindi na mboga mboga hizo tena unaweka maji game over.Hahah chips yai wanaisingiazia tu mkuu,siku hizi watu wanakula mpk mahindi ya kuchomaa yaliyowekewa chumvi,pilipili,limao na madiko diko kibao.
Matokeo yake ndo hayo sasa mkuu.View attachment 1343922
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Martin ajawahi kuwa serious kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mm sina shaka naye kabisa kiongozi bora sana huyo mbona atakuwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Weka mpaka nyanya chungu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Naweka bamia humo kwenye samaki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo si ugali ukifika tumboni mzee wangu mahindi na mboga mboga hizo tena unaweka maji game over.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbavu sana ww.Mlenda labda nipate mkunungu halafu upikwe uwe mzito halafu na nguna. Akila lazima anyanyuke nao dadeki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuSafi sana mkuu,conventry enzi hizo watu walijipatia maujiko sana sababu ya hio kitu mkuu.
dodge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo si ugali ukifika tumboni mzee wangu mahindi na mboga mboga hizo tena unaweka maji game over.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Bad Boyz yenyewe wamevuruga mbaya.Hahah ni chizi sana yule jamaa mkuu.
dodge
Pole mkuu, mmefika wapi now?Bado nipo , safari bado inaendelea ndani ya Deluxe
[emoji23][emoji23][emoji23] ulipitiwa na usingizi saiz umeshituka.Bado nipo , safari bado inaendelea ndani ya Deluxe