Mkuu kwani una kitambi cha chipsi yai nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau na vitambi [emoji23][emoji23][emoji23] mara kukosa nguvu zakiume inaleta in short ni majanga imeleta epe yai.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuona chips yai kaona majabu kweli yaan hapo ndio ulipo jichukulia max zako [emoji119]Kila kitu kina faida na hasara mkuu. Mi mwenyewe nataka nijichukulie ujiko kwa semu flani nimemualika lunch. Nikamwambia najua kupika kinoma. Nitamtolea chipsi yai dadeki.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimewaza tu kwa sauti.Hahah naona una ka-uzoefu kakiana mkuu.
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheo cha Chief nakiona kabisa kwako kwenye chip yai.
Afadhali angeenda hata toilet akapiga self yale akimaliza anarudi kwa ofisi akiwa mwepesi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazembeaje sasa kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuona chips yai kaona majabu kweli yaan hapo ndio ulipo jichukulia max zako [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuja kuchukua PHD huko sasa.
Hahah siku hizi mambo ya uhujumu uchumi noma unaweza shangaa tu umehusishwa nayo tu kisa tu uko serious kufuatilia hakimiliki ya kiepe.Mkuu nakushauri ukaisajili COSOTA tusijepoteza innovation zetu kama kwa chipsi yai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna movie flani niliiona nadhani ilikua ni Blue Streak ya Martin Lawrence kama nakumbuka vzr(Martin alikua juu ya dar ana inshu zake tu,mara kuchungulia kwa chini hapo ofisini akamuona jamaa sijui ni boss wake anavuta mafuta kwny droo akapiga zake selfie hapo hapo kwny kiti chake fresh kabisaa,sasa jamaa alivyoshuka juu ya dari akakutana na yule boss mlangoni na akapewa mkono(kusaliwa) daah martin akawa anakumbuka alimuona boss akipiga selfie na huo huo mkono daah ilibidi azuge kuukata ule mkono ki-style hahah),hio scene hua inanichekesha sana.
dodge
Ntakuwa supervisor wake. Itabidi atafute sample yake ya kutest hiyo invention then akifanikiwa analamba PhD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuja kuchukua PHD huko sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza pewa nafasi ya uhamasijashi. Unatembea na ile invention ya nzi ukionyesha utendaji kazi wake murua bila madhara kama jamaa alivyoeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama kina mtegemea na sasa matumaini ya wananchi kayabeba yy nategemea hatotuangusha kabisa.Ntakuwa supervisor wake. Itabidi atafute sample yake ya kutest hiyo invention then akifanikiwa analamba PhD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo itabidi nitoe wali na lost ya samaki nazi na mboga za majani mzee baba. Au unaushauri gani? Maana kwenye mambo ya jikoni sipo vibaya sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah ukiweza fanyia marketing hio kitu,then ukienda kwny interview lile swali la 'Sell me this Pen' nadhani wala hauta hangaika nalo,uta excel kwa more than 100% mkuu hahah.
dodge
Hahah ukiweza fanyia marketing hio kitu,then ukienda kwny interview lile swali la 'Sell me this Pen' nadhani wala hauta hangaika nalo,uta excel kwa more than 100% mkuu hahah.
dodge
Umesahau na vitambi [emoji23][emoji23][emoji23] mara kukosa nguvu zakiume inaleta in short ni majanga imeleta epe yai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwamba yupo vyema kutuongoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chama kina mtegemea na sasa matumaini ya wananchi kayabeba yy nategemea hatotuangusha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, kweli pesa inatafutwa kwa udi na uvumbaHahah chips yai wanaisingiazia tu mkuu,siku hizi watu wanakula mpk mahindi ya kuchomaa yaliyowekewa chumvi,pilipili,limao na madiko diko kibao.
Matokeo yake ndo hayo sasa mkuu.View attachment 1343922
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiweza pika mpaka na mlenda mzee wangu.Hapo itabidi nitoe wali na lost ya samaki nazi na mboga za majani mzee baba. Au unaushauri gani? Maana kwenye mambo ya jikoni sipo vibaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app