Mawazo ya nini tena kajojo? Ungekuja mapema pindi unawaza, yangeondoka kwa story za hapaAloo kama kukesha na mawazo basi Leo nimekesha, mpaka saa 5:16 hii, dah Mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hujalala kabisa?Aloo kama kukesha na mawazo basi Leo nimekesha, mpaka saa 5:16 hii, dah Mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Tshala umeadimika
Dadekii hapa ni wapi mkuuUsiku wa manane ..... ila kuna mabaharia wanatamani wao ndio wawe hiyo Serengeti lite View attachment 1342655
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kuamini umepita kimya bila uchambuzi mkuu.. shusha vitu
Ngoja nione na Leo, kuna mda usingizi unakata kama unakua na jambo linalo kukosesha rahaMawazo ya nini tena kajojo? Ungekuja mapema pindi unawaza, yangeondoka kwa story za hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Brian baada ya hiyo movie kuisha katikati hapa alikuwa mlevi hatari haeleweki yupo ovyo ovyo tu.Now watching
The Jesus Film. By Brian Deacon.
-Kiswahili maridhawa kimetumika kutafsiri muvi hii
We mzee unaaga mapema hv?Lindo jema wakuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Siamini kama hii ina ukweli ndani yakeBrian baada ya hiyo movie kuisha katikati hapa alikuwa mlevi hatari haeleweki yupo ovyo ovyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kama nitalala lakini nitaakikisha asubuhi nione post yako ikiwa ya mwisho ukifunga lindo mzee wangu.Naweza mkuu,utakimbia wewe
Nikweli mzee jamaa alibadilika mno.Siamini kama hii ina ukweli ndani yake