JamiiForums Usiku wa manane

Halafu nimeshtuka kitu hawa wapika supu ya mbuzi huwa wanatia KONYAGI ili iive vizuri.
Ndo maana hata ambaye sio mpigaji vitu akili inaharibika tuu
 
Halafu nimeshtuka kitu hawa wapika supu ya mbuzi huwa wanatia KONYAGI ili iive vizuri.
Ndo maana hata ambaye sio mpigaji vitu akili inaharibika tuu
[emoji23][emoji23][emoji23] hulikuwa hujui hii kitu loh.
 
Ukisalimika kwa ma ntilie nyumbani hukwepi dawa na mdada wa kazi....ukisalimika hapo hukwepi limbwata la wife....taabu tupu
[emoji23][emoji23][emoji23] utachagua sasa mwenyewe wapi uelekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…