Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Kweli maana alikuwa na kinyongo asingekuwa na furaha alafu nachokiona huyo mwana mwengine kaona kuwa naye huyo bibie ni noma kwa hiyo scandal.Huyo jamaa alikulinda kidogo na kukupunguzia machungu
Safi, ngoja nami nikanunue kinywaji changu pendwaNiko na juice nimetoa kwenye fridge sasa hv.
Huyo dada atapata tabu sana labda atatokea mshikaji ambaye hajui hiyo film ndiyo atajiweka hapoKweli maana alikuwa na kinyongo asingekuwa na furaha alafu nachokiona huyo mwana mwengine kaona kuwa naye huyo bibie ni noma kwa hiyo scandal.
Unapandisha tu mbona change gear kwenye hiyo semi yako au unatembelea passo Hommie mm niko na Subaru legacy hapa napanda mlima tu [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoma nzito mkuu
Mapenzi yamekuwa kama pesa siku hizi nayo ni magumu unatafuta [emoji22]Hakuna binadamu anaeridhika bro. Ukifanikisha kimoja utatamani zaidi yaani ni mtu aamue tu mwenyewe ila sio nje ya unachoeza mfanyia
Kabisa yani.Huyo jamaa alikulinda kidogo na kukupunguzia machungu
Mpotezee Ru,roho ya huruma inaweza kukujia wakati alikuaibisha mpaka kwa wazazi wako,then wazazi wakijua inakuwa noma mkuu,potezea tu.......Kwa mechi za kirafiki labda[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Nipo kwenye daladala ya mbagala na imeharibika taifa.. hakuna safari hapa [emoji23][emoji23]Unapandisha tu mbona change gear kwenye hiyo semi yako au unatembelea passo Hommie mm niko na Subaru legacy hapa napanda mlima tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Maybe ahame Moro.Huyo dada atapata tabu sana labda atatokea mshikaji ambaye hajui hiyo film ndiyo atajiweka hapo
mm pombe situmii mzee wangu nipo na juice tu hapa labda hao wengine wanatumia.
Hakuna wepesi mkuu. Hao wazee ukikaa nao watakupa mkanda mzima.kilichorahithisha ni simu tu kupatana maexMapenzi yamekuwa kama pesa siku hizi nayo ni magumu unatafuta [emoji22]
Nimekuelewa mkuu.Mpotezee Ru,roho ya huruma inaweza kukujia wakati alikuaibisha mpaka kwa wazazi wako,then wazazi wakijua inakuwa noma mkuu,potezea tu.......
[emoji23][emoji23] mkuu usimuombee mabayaMaybe ahame Moro.
Sent using OPPO Mobile Phone
Anaweza kuja mtu asiyemwenyeji wa hapo moro,akaopoa faster.....Maybe ahame Moro.
Sent using OPPO Mobile Phone
Kama ataweza kuhama hapo itamsaidia sana na kutengeneza mentality nyingine mpya kabisa.Huyo dada atapata tabu sana labda atatokea mshikaji ambaye hajui hiyo film ndiyo atajiweka hapo
Yeah maana hawa viumbe hawaelewekiNimekuelewa mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Drink sio pombe tu mzeemm pombe situmii mzee wangu nipo na juice tu hapa labda hao wengine wanatumia.
Yeah akibaki mazingira hayo itasugua sana benchiKama ataweza kuhama hapo itamsaidia sana na kutengeneza mentality nyingine mpya kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] dah usinikumbushe matukio ya mbagala ujue ww.Nipo kwenye daladala ya mbagala na imeharibika taifa.. hakuna safari hapa [emoji23][emoji23]