Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Yap furaha ndio kila kitu.Naelewa mkuu, wala usijali. Hapa ni sehemu mojawapo ya kujokes na kufurahi na online friends ukizingatia maeneo niliyopo ni kazi kazi. Nikiwa hapa narelax kimtindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu.. pambana tu life likae sawa. Ukikaribia kurudi home one time usiache kupita humu kutoa alert. Tunaweza muagizia original wife mr villainNaelewa mkuu, wala usijali. Hapa ni sehemu mojawapo ya kujokes na kufurahi na online friends ukizingatia maeneo niliyopo ni kazi kazi. Nikiwa hapa narelax kimtindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda menyu sana ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah umenikumbusha mbali ww secondary nilikuwa napita pale high class hotel wale wadada walikuwa nyoko kweli yaan wanapika acha unapita nje lakini hiyo harufu ni laana harafu mfukoni sina jambo baharia.
Mabeberu tena[emoji28]Mabeberu wangapi bado wapo hewani muda huu?
[emoji23][emoji23] kusingiziwa tena unitakii mema ww nishakuona mm sitaki kuwa step father ujue.Ndo utapata na kama unapenda zaidi za kusingiziwa pia zipo. Muombe Mungu tu na UPIGE KAZI [emoji23][emoji23]
Ni kweli mkuu.. ila tusipambane kupita kiasi hadi tukasahau life la upande wa pili. Unaeza kuwa na mafanikio af usiyafurahie, life ni kubalance tuKabisa kabisa. Maisha ni mapambano mzee. Yatupasa kupambana hadi siku ya kuingia kaburini ndio uta rest in peace
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona unaogopa kujilipua kama bro wako?Sure, Na bro wangu yupo China toka 2012.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna menyu af kuna mnusoAnataka kunipa wenge tu huyo hanitakii mema wala nn yy mindset yake imetune kwenye menu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah ...😀Mabeberu tena[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Anataka kunipa wenge tu huyo hanitakii mema wala nn yy mindset yake imetune kwenye menu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafanya hivyo mkuuPamoja mkuu.. pambana tu life likae sawa. Ukikaribia kurudi home one time usiache kupita humu kutoa alert. Tunaweza muagizia original wife mr villain
[emoji23][emoji23][emoji23] nina ndugu zangu duchess na sina shobo nao ww unataka umwambie mwana anifanyie booking huko.Pamoja mkuu.. pambana tu life likae sawa. Ukikaribia kurudi home one time usiache kupita humu kutoa alert. Tunaweza muagizia original wife mr villain
[emoji23][emoji23][emoji23]Mabeberu wangapi bado wapo hewani muda huu?
mm ukitaka unione nakula niweupset tu muda wote nakula tu ovyo.Unapenda menyu sana ww [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nakutakia mema sana damu yangu.ndo maana tunakesha humu[emoji23][emoji23] kusingiziwa tena unitakii mema ww nishakuona mm sitaki kuwa step father ujue.
Ninapambana lakini pia bata nakula vizuri tu. Hata nikirest in peace leo sitojuta kabisa.Ni kweli mkuu.. ila tusipambane kupita kiasi hadi tukasahau life la upande wa pili. Unaeza kuwa na mafanikio af usiyafurahie, life ni kubalance tu
Kilitokea nn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwaka juzi nilitaka kuoa ila kilichotolea daaah[emoji124][emoji124][emoji124]wacha nivute shuka nilale.
Sent using OPPO Mobile Phone