JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23] wanakuona mnyamaa
Nikipita nimewasalimia basi naendelea na mikausho yangu yaan ile fear haipo maana nimekuwa kwenye mitaa pila muda wote linatimba lakini na uboya wangu wote central nilikaa siku moja [emoji23][emoji23][emoji23] mom alinipeleka huko lakini hiyo ni story nyingine kabisa ikaushie tu mzee wangu.
 
Ulizingua wewe.. home watulivu af unataka wapa wakuu pressure. Safi sana japo mimi sijawahi hata kuingia [emoji23]
 
Ulizingua wewe.. home watulivu af unataka wapa wakuu pressure. Safi sana japo mimi sijawahi hata kuingia [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa polisi wanajambisha kinoma ukiingia mule aah utajionea nachokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…