Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
The thought will come, but it's up to you to fight the demons.
BTW last night kuna movie nilitazama nikakukumbuka....I don't remember the name....silly me.
Iliishaje hiyo movie sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23] Pole blood.. kivingine tupo katika meli moja[emoji23][emoji23] tatizo mm siwezagi penda nusu sasa naingia mzima kwahiyo expectations lazima ziwepo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo ni kwamba mkioneshwa mnapendwa ndio mnafanya makusudi na ukilia sasa loh jiandae kwa maumivu sasa.Nakuibia siri....
Tunapenda kuwaona mnalia sometimes...
Usijifiche next time...hata tule tuchozi twa mbali ...
Bro chukua huu ushauriNakuibia siri....
Tunapenda kuwaona mnalia sometimes...
Usijifiche next time...hata tule tuchozi twa mbali ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi lia bila sababu kuna cheat zinauma ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mm bhana nikiwa upset nakula kinoma kitakacho pitambele siwezi acha kabisa.[emoji23][emoji23] pole mkuu ndio life. Mimi nikiongea hapa nitatoa siri za kambi ila its not easy af tumeumbiwa uwezo tofauti wa ku_handle situations mzee
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo ni kwamba mkioneshwa mnapendwa ndio mnafanya makusudi na ukilia sasa loh jiandae kwa maumivu sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi lia bila sababu kuna cheat zinauma ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mm bhana nikiwa upset nakula kinoma kitakacho pitambele siwezi acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unataka niwekanya boya kesho akanichalazie kwa wana na mashost zake [emoji23][emoji23][emoji23] hapana babu hii naweka humu [emoji706] ishinayo ww kama unaweza babu.Bro chukua huu ushauri
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee.. inaonekana heartbreak zako nzuri sana. Usikose kunishtua ikitokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi lia bila sababu kuna cheat zinauma ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mm bhana nikiwa upset nakula kinoma kitakacho pitambele siwezi acha kabisa.
Mimi kulia mbele ya manzi ni ngumu.. kheri nikalie room[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unataka niwekanya boya kesho akanichalazie kwa wana na mashost zake [emoji23][emoji23][emoji23] hapana babu hii naweka humu [emoji706] ishinayo ww kama unaweza babu.
[emoji23][emoji23][emoji23] tuwemakini na Trey Songz - heart attack [emoji445] dedication for us [emoji484][emoji23][emoji23][emoji23] Pole blood.. kivingine tupo katika meli moja
Unalala 🤔Mida mida kidogo.
Kuna kanyimbo nataka nikupe mnakapenda sana sijui unakajua haka kanyimbo Ciara - Never ever.Oohhh....jaribu Siku moja....
Usijionyeshe mgumu tu..tunapenda kuwaona mnapokuwa vulnerable mara moja moja
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo safi kabisaa...[emoji23][emoji23][emoji23] tuwemakini na Trey Songz - heart attack [emoji445] dedication for us [emoji484]
Kuna kanyimbo nataka nikupe mnakapenda sana sijui unakajua haka kanyimbo Ciara - Never ever.
Sana nakula misosi kinoma huwa nashangaa hile appetite inatokaga wapi. [emoji4]Unakula misosi sio?
Hiyo ruksa kabisa.