[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kizembe..uwiii ongeza ongeza kidogo[emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kurudi unaweza kuta nikipande cha kutoka ubungo mpaka shekilango [emoji23]
Hahahhahaha mkuu mimi sina wa ubavu, nimechagua kujipa raha mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hali mbaya. Lala tu maana lindo lina watu wengi au kuna mtu unamngoja
Kesho nistue lindo mapema sio kunikimbia hatupeani habari
Duuh! umejitoa, ana wake wa 4 na bado anatamani kuongeza dini ndio haimruhusu
Pole sana mkuuI can't sleep,stress,jamanii how to handle break up,am in too much pain
[emoji23][emoji23][emoji23] majirani lazima waamke huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kizembe..uwiii ongeza ongeza kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] wamelala eti[emoji23][emoji23][emoji23] majirani lazima waamke huko.
Usijali ..ila ukae na simu karibu .Kesho nistue lindo mapema sio kunikimbia hatupeani habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] brother kesho j2. Unanishuhudia uongoAaah kwani hujui ww umeshapiga chako cha mkwesi saiz ndio unaonekana hapa [emoji23]
Wanalalaje mapema weekend hii yote wataamshwa kwakicheko sasa.
Kujipa raha mwenyewe kuna maana nyingi. Hii lugha ina mushkeli mkuu [emoji23][emoji23][emoji23].. em clarify kidogoHahahhahaha mkuu mimi sina wa ubavu, nimechagua kujipa raha mwenyewe
Aaah ww ndio muongo sasa loh kesho ni juma3 [emoji23][emoji23] alichokupa huyo nani mwambie asikupe tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] brother kesho j2. Unanishuhudia uongo
[emoji23][emoji23] hata Mimi sitaki unisalimie unanizeesha.Sijambo.. dada Mishil alinikataza nsikusalimie
Ur missedIm here dearest [emoji4][emoji4][emoji4]
Nakusaka sana mrembo,kumbe upo ?! Inapendeza sana.Ur missed
Unajua koo zetu kanda ya ziwa sio nzuri. Unaweza pigwa radi kesho mchana kweupee [emoji23][emoji23][emoji23]Aaah ww ndio muongo sasa loh kesho ni juma3 [emoji23][emoji23] alichokupa huyo nani mwambie asikupe tena.
Majirani zangu hawanaga habari na mambo ya wengine..kwahiyo hata nicheke vipi hawa-mind wanaendelea kujilalia zao.Wanalalaje mapema weekend hii yote wataamshwa kwakicheko sasa.