Wapo pia hamnazo, ajili ya kua nazo/
[emoji112][emoji112]Alipota hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Gud hommie.
Hope you are well particulary at this time[emoji123]Gud hommie.
Yep dudeHope you are well particulary at this time[emoji123]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Pesa bhana haina eshima kabisa yaan juzi dah.Bila mavumba utakosa vingi utaonekana kama kero, hata masai atakupita kimya bila kukusalimu yero
It's Scars
[emoji23][emoji23][emoji23] basi subiria rocket zako kutoka USA.Maisha haya sio siri magumu, bila pesa unaweza ukapewa kesi hata usiyoifahamu/
Stori mpya kitaa scars haongei na majiran, wnadai mi ndio chanzo cha vita ya iran/
It's Scars
hapana shemeji yangu kaniletea karanga za Japani bei ni 150k nikasema huu unaweza kuwa mshahara wa mtu kabisa mm naulia karanga hapa [emoji22]Pesa inauma sana bila shaka ulibeti, sipati picha ulivyo data kama msela aliyefumwa na denti/
It's Scars
Hii noma sana hizi karanga zinabidi zichunguzwe, nahisi ndani kuna madini ebu toeni haraka kisha mziuzehapana shemeji yangu kaniletea karanga za Japani bei ni 150k nikasema huu unaweza kuwa mshahara wa mtu kabisa mm naulia karanga hapa [emoji22]
Madini yatoke wapi babu zipo kama korosho ni nyeupe adi ladha ni kama korosho, life sio fair kabisaHii noma sana hizi karanga zinabidi zichunguzwe, nahisi ndani kuna madini ebu toeni haraka kisha mziuze
It's Scars
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wamarekani sio watu aah nikikumbuka movie ya Bin Laden shoot to kill aah majamaa ni wanabalaa zito hawa watu natamani nipate hata hiyo movie ya general wa Iran alivyo fagiwa na hawa watu.Marekani mi ndo msemaji wao hunioni navyo wa pump?, kwa mfano kama leo huwezi amini kua nimemkatia simu trump/
It's Scars