fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,874
- 24,482
Tupe updates maana si kwa msafara ule wa wanajeshi wa marekani kuelekea IraqNipo hapa mashariki ya kati naangaza kinachojiri
Tupe updates maana si kwa msafara ule wa wanajeshi wa marekani kuelekea IraqNipo hapa mashariki ya kati naangaza kinachojiri
Salama tu,vipi haliHabari za huko mkuu
Waarabu bado wanaendelea kuharibuTupe updates maana si kwa msafara ule wa wanajeshi wa marekani kuelekea Iraq
Powa sana.. karibu lindoniSalama tu,vipi hali
Nimekaribia mkuu,ingawa nimekuja lindoni bila magwandaPowa sana.. karibu lindoni
Umeshaaga.?Ahsante mkuu.kama nawe ni Futurist
Trump kafyata mkia
haah ko wote wamelala sas unabd ulaleMnasema nimelala,mada zote kule forum nachangia peke yangu!