Unakosa vingi sana sasa.
[emoji16]Na kwako pia mdada mwenye .. .. zake
[emoji23][emoji23][emoji23] zitunze vizuri bwana.
Jaza nafasi uliyoacha wazi mzee mwenzake.Na kwako pia mdada mwenye .. .. zake
mm napenda social sana hata O level nilipewa uwaziri wa hiko kitengo [emoji38][emoji38][emoji38]Mmh unajua raha ya kukaa peke ako ww ?
Mm niko na mixed personality
Ni mcheshi mno ila kwa watu niliwazoea
Talkative
Shy
I do enjoy being me ngoja niishie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee kama haupo vile,unatokea kwenye pasi za mwisho kama Kevin de bryune [emoji2][emoji2]Jaza nafasi uliyoacha wazi mzee mwenzake.
#PastPapersHutoiNaHutakiTuibie[emoji3]
ha ha sawa, pumzika
mm napenda social sana hata O level nilipewa uwaziri wa hiko kitengo [emoji38][emoji38][emoji38]
Kukaa pekeyangu ndio kitu huwa nachukia sana kwenye hii dunia.
Inaonekana napenda sana uswahili mm lakini uswailini kitu kinachonikela tu ni vigoma na vigodoro ndio tunapisha hapo tu.Eeh tuko tofauti basi mm naenjoy kuwa peke angu n feel good abt it .
Na ninnainteract na watu tu as usual .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha i feel youIlikuwa mida ya saa nne halfu situmii supu mie wala mtori , ikanibidi nijitoe tu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Black n blue kwangublack na blue na the informer bora ipi?
ππππMzee kama haupo vile,unatokea kwenye pasi za mwisho kama Kevin de bryune [emoji2][emoji2]
#TatzoUkipewaUigilizie
#UnatakaUcopyHadiJina [emoji23][emoji23]
Inaonekana napenda sana uswahili mm lakini uswailini kitu kinachonikela tu ni vigoma na vigodoro ndio tunapisha hapo tu.
Bora upakue documentary ya UFO aliens ya mwaka huu[emoji38]Ok shukran, acha niipakue hapa
Mzee kama haupo vile,unatokea kwenye pasi za mwisho kama Kevin de bryune [emoji2][emoji2]
#TatzoUkipewaUigilizie
#UnatakaUcopyHadiJina [emoji23][emoji23]
Huwezi badilika hiyo ndio nature yako na huwezi kuikimbia kila mtu huwa anamtazamo tofauti kwakile anachokiona kuna wengine wanaweza kukuona hivyo na wengine wasikuone hivyo.Nope naonekana nina dharau au npo serious , mm nacheka ninao wajua tu km sikujui npo kimya tu .
Sipendi hayo maisha ila ndo tamaduni yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] aisee, kwann? Hamna kila kituBora upakue documentary ya UFO aliens ya mwaka huu[emoji38]