Usiku mwema tena?Usiku mwema mkuu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Hii ndoto yako balaa. Yaani ndio kwanza tumeuanza wewe unawaza uishe!Zimebaki siku 363 mwaka uyeyee
Hiyo ID yako imenikumbusha sana rafiki yangu moja Tulikutana Kampala mwaka 2005. Tulikuwa tuna muita Mjep; Ndio wewe nini ?
Ni hatari mzee[emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo Title ni noma kweli yaan
Mkuu Mapinduzi cup05:34, road work : Victoria , Morocco, mbuyuni, oysterbay ,coco beach .
Karibuni tufanye mazoezi ,tutaonana baadae walinzi wenzangu
MTC | 101| [emoji769]
Hapana mkuu sijakisoma..
Unafahamu The Great Expection?
Hichi kitabu nakitafuta sana soft copy nisaidie kama unachoView attachment 1310595
Hapana mkuu sijawahi ishi KampalaHiyo ID yangu imenikumbusha sana rafiki yangu moja Tulikutana Kampala mwaka 2005. Tulikuwa tuna muita Mjep; Ndio wewe nini ?
God save us
Nilimaanisha ID yako si yangu