Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Hahahaaaa umeona eee ..ila tunalinda mchanaYaani ukiona huu uzi leo tumeuvamia mchana ujue ni sababu ya mwaka mpya.
Ticha nipo aisee, nakuona na mabadiliko ya 2020.
Hahahaaaa umeona eee ..ila tunalinda mchanaYaani ukiona huu uzi leo tumeuvamia mchana ujue ni sababu ya mwaka mpya.
Ticha nipo aisee, nakuona na mabadiliko ya 2020.
Labda wewe ndo mpyaWewe ni mpya humu chamani?
Miss you too, sijui ndio wewe maana naona ID mpya [emoji38]Your missed this side...happy new yr babe
Miss you too, sijui ndio wewe maana naona ID mpya [emoji38]
Hahaha, mzee una babes wengi mpaka hukumbuki yupi ni yupi.
Umenipita hapa langoni hata salamu ndugu...?Nipo .....
Mapema sana dahNipo .....
We jamaa upo dah ulitorokea wapiMiss you too, sijui ndio wewe maana naona ID mpya [emoji38]
Nakuvizia wewe ndio maana,tunaambiwa chelewa chelewa. Nikaona niwahi mapema ili hata kama tukiondoka wengine wasijue. Si unajua usiri ndio kipimo cha afya ya akili.Mapema sana dah
Niwie radhi,habari ya kazi.Umenipita hapa langoni hata salamu ndugu...?
Mapema sana dah
Mdogo wangu karibu tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mkakati mahususi huuNimekwambia hii ni mbinu tu ya kuondoka na wewe. Yaani usihofu kuhusu hali yangu,yaani sijapatwa na chochote na niko timamu kabisa.