Hahaha mkakati mahususi huu
Umesema kweli.
Si unajua hapa nipo kwenye uwanja wa vita,kwahiyo mikakati ni jambo la dharura.
Hahaha mkakati mahususi huu
Umeona ehh au wewe ulimficha
Jana ilikua ni 2019 bado tuna discus iweje leo ni 2020Kuna habari gani humu
Ngoja nikakojoe nilale! Hakuna hata upweke humu ndani??
Kwahiyo wewe unawaficha wakubwa tu,
Yeah halafu kuna bwege mmoja nimemkuta hio 20 ya mbele kairudisha mbele na hio ya nyuma kaipeleka mbeleJana ilikua ni 2019 bado tuna discus iweje leo ni 2020
Kauli tata hii, anyway usiku mwemaNgoja nikakojoe nilale! Hakuna hata upweke humu ndani??
Hahahahà ukishakojoa unalala! Sijui kwanini huu utamaduni uko huku kwetu! Ukikojoa tu unalala; sijui kwa mchana ila kwa usiku inatokea sana
happy new year dearSalama kabisa...za huko uliko?
Hahahaa kumbe, haya kukojoa kwema na usingizi mwemaHahahahà ukishakojoa unalala! Sijui kwanini huu utamaduni uko huku kwetu! Ukikojoa tu unalala; sijui kwa mchana ila kwa usiku inatokea sana
Hahahaha wakubwa wanafaidi