Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
02:45
Mimi nimeukaribisha kiubabe eti, no love no sweet no sugar
Nipe njia nipe mikakati basi
Nataka kukushika hapa usibanduke
Niitoe wapi mie yangu mwenyewe inanishindaNipe njia nipe mikakati basi
Teh...akili za usiku wanazengo wanasemagaDuh! Kesho nikipitia posts zangu nahisi ntajiuliza kama kuna mtu kahack account yangu.
Kwa hiyo madam tunaufanyaje huu mwaka
Basi tubadili radar maana tunateg sehemu zisizo na signal
Umeamka mkuuKumekucha,hakuna kulala
Oooh! Aisee.
Mwaka nimeuanza kwa kibuti, basi mwaka mzima itakuwa hivi hivi.