JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
FB_IMG_15777952056615036.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya 2020..

Najua huu utakuwa mwaka wa pilika nyingi sana hivyo shughuli kwenda hadi late hrs ama kuanza late hrs.

Hii ni kuanzia saa 6 usiku hadi 11 alfajiri.

Tupeana hapa abcd za mishe za mida hiyo,wale walinzi haya,walevi sawa,wanaotoka michepukoni poa,wadanganyi sio mbaya,misheni town za usiku sawa,wapiga nondo haina kwere.

Leo najua wengi ni full shangwe la new year.

Mungu awabariki ktk huu mwaka 2020 na miaka ijayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom