Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Nilikuwa macho mkuu,katika harakati za kuupokea mwaka;waswahili wanasema mwaka mpya ukikukuta usingizini...basi mwaka mzima utakuwa unapenda usingizi,na mwisho wa siku mambo yako yanalala.Umeamka mkuu
Acha matani banah wewe ni mtu mzima eti
hongera kwa kuuona2020 !!!!!!!!!
Asante sana....na kwako pia...hatimaye tumefika 2020....
hongera kwa kuuona
Naam tunashukuru tumeuonaAsante sana....na kwako pia...hatimaye tumefika 2020....
SawaNa uzee wangu naogopa mabadiliko
Acha tu