Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Ni kweli lakini ukiona kila siku wa mwisho darasani bora uzame na nondo [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nishapost sana mm na retweets nyingi mno tu.We rudi tu ila ukawe na akili sasa, mimi nilijoin 2014 na mpaka leo sijawahi juta kuwepo pale ndani ni kuishi nao kwa akili tu[emoji28] japo sijawahi post zaidi ya kuretweet na kulike tu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Itabidi unipe siri ya mchezo. Huo upepo si bureeNililala njiani gari ilikuwa nimbovu unategemea nn [emoji38][emoji38][emoji38]
Hongera sana na kazi njema[emoji123]
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona nilishinda humu naangaika nagari nikichoka narudi humu kujufurahisha.
Nililala njiani gari ilikuwa nimbovu unategemea nn [emoji38][emoji38][emoji38]
Mungu saidia wanaonijua wasipite humu.. nilishawahi kuingia na nondo imejaa kanuni za math. Darasa la sita hiyo watu hawakuamini naenda kuchukua zawadi ya mshindi wa tatu wa hilo somo [emoji23][emoji23][emoji23]. Nikikumbuka najiona bonge la pimbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjinga ww unenikumbusha mbali ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu saidia wanaonijua wasipite humu.. nilishawahi kuingia na nondo imejaa kanuni za math. Darasa la sita hiyo watu hawakuamini naenda kuchukua zawadi ya mshindi wa tatu wa hilo somo [emoji23][emoji23][emoji23]. Nikikumbuka najiona bonge la pimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ukimaliza lindo pitia mwalonj ukanichukulie mgebuka [emoji4][emoji4][emoji4]Umeniacha hapo....
Niko nje ya kibanda changu hapa
Ronny unakumbuka vzr tukio kama ulikuwepo vile [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Jamani...ile siku ulipata ushirikiano sana....
Mpaka chaja[emoji854][emoji854][emoji854][emoji6][emoji6]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mungu saidia wanaonijua wasipite humu.. nilishawahi kuingia na nondo imejaa kanuni za math. Darasa la sita hiyo watu hawakuamini naenda kuchukua zawadi ya mshindi wa tatu wa hilo somo [emoji23][emoji23][emoji23]. Nikikumbuka najiona bonge la pimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni jf addict. Chukua crown[emoji23][emoji23][emoji23] mbona nilishinda humu naangaika nagari nikichoka narudi humu kujufurahisha.
Hahaaa ukimaliza lindo pitia mwalonj ukanichukulie mgebuka [emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu saidia wanaonijua wasipite humu.. nilishawahi kuingia na nondo imejaa kanuni za math. Darasa la sita hiyo watu hawakuamini naenda kuchukua zawadi ya mshindi wa tatu wa hilo somo [emoji23][emoji23][emoji23]. Nikikumbuka najiona bonge la pimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ronny unakumbuka vzr tukio kama ulikuwepo vile [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Alafu huwezi amini nimejiunga mwaka huu mm [emoji23][emoji23] crown bado hainistahili kabisa.
Usiniambie ulikuwepo pale [emoji15][emoji15]Wewe tu...nilishakuandalia pakumpumzikia ukaona aibu.....sio mbaya lakini.