Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Uwelewa tunatofautiana ndio tatizo na tungekuwa tupo sawa tusingeheshimiana kabisa.Unaweza fake ili mishe ziende ila kutengeneza image ili ukubalike na class flani ni kisanga budaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] unatakiwa kuwa jasiri tu ndio kikubwa.
Hahahaha, mbali wapi?
MTC | 101| [emoji769]
Umesema hutovumilia sasa unawezaje kujua kama hili nitusi sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Inategemea mna mahusiano gani ila wanasemaga tusi la kizungu aliumi eti? [emoji4][emoji4]Lugha chafu kwangu ni Tusi
Aah vibaya hivyo unafanya ujue.
Karibu Bro!Wakuu, umofia kwenu!!
Dah kilasiku nashindwa jibu hii kitu kweli hikikichwa ni mzigo [emoji4]Wakuu, umofia kwenu!!
Thanks, hbr ya leo?Karibu Bro!
Inategemea mna mahusiano gani ila wanasemaga tusi la kizungu aliumi eti? [emoji4][emoji4]
Thanks, hbr ya leo?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ma F , B, S words?????
Yanachomaaaa
Unajibu, Umuofia ya!!Dah kilasiku nashindwa jibu hii kitu kweli hikikichwa ni mzigo [emoji4]
Naona kuna mada za matusi na kwamba wanna be nalo ni tusi....Nzuri sana.
Nashukuru
Dah yaan unakulia mjini wengine hata kilugha cha kwetu hatujui ni kisanga kweli kweli.Unajibu, Umuofia ya!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamii zinabadilika sana.Zamani wengi walukua wakioana ndani ya kabila moja hivyo wazazi wanajikuta wanaongea kilugha na mwishowe watoto wanajifunza kupitia wazazi.Dah yaan unakulia mjini wengine hata kilugha cha kwetu hatujui ni kisanga kweli kweli.
Naona kuna mada za matusi na kwamba wanna be nalo ni tusi....
Hebu unitag ukifikia hitimisho🙂Bado nalifanyia utafiti...sinauhakika
Jamii zinabadilika sana.Zamani wengi walukua wakioana ndani ya kabila moja hivyo wazazi wanajikuta wanaongea kilugha na mwishowe watoto wanajifunza kupitia wazazi.
Siku hizi tunachanganyika sana na pia kuna wanaodhani kuzungumza kilugha ni ushamba .