Buguruni ukiwa muoga huwezi kula kabisa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yataka moyo kula pale.
Mm msosi ukiwa wabaridi ndio huwa nakuwa na hofu lakini kitu kikiwa chamoto napiga tu.
Hahahaha unagata restro kama eneo ulikopo ipoYaani unakuta siku una hamu ya wali lkn ndo hivyo ukiona mazingira bora ujilie tu kwingine .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ww haupo upwekeni eti[emoji23] tunakesha sababu ya nn
Hahaha sawaNipo nipo,si unajua nawaondolea upweke wengi,yaani mko wengi,kwahiyo nakomaa kuwatimizia haja zenu.
Sasa nimeuama kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23] raha ya buguruni kuna vitu vingi sana vyakula lakini kula ndio uwemakini.[emoji28][emoji28] tulikuwa tumeenda sokonii hapo bugurun nikapewa sijui embe nikala na ilikuwa msimu wa kipindukipundi akaniambia unakula huku utaumwa ,nilibaki tu nashangaa .[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sawa
Hahahaha unagata restro kama eneo ulikopo ipo
[emoji23][emoji23][emoji23] raha ya buguruni kuna vitu vingi sana vyakula lakini kula ndio uwemakini.
Na kweli [emoji23][emoji23] sema mama ntilie wMkoani hakuna restra nyingi unless uwe mjini na ukiwa huku matombo ni cafe tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli [emoji23][emoji23] sema mama ntilie w
Hawaashindwi kuosha mchele maji ya mchele wakapikia mchuzi[emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Loh hua wanawalisha watu uchafu bwana
SawaNarudi....
Loh hua wanawalisha watu uchafu bwana
[emoji38][emoji38][emoji38] acha habari zako sasa hizo unaleta chai saiz saa 0300Na kweli [emoji23][emoji23] sema mama ntilie w
Hawaashindwi kuosha mchele maji ya mchele wakapikia mchuzi[emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]