ha ha ha baada ya dakika 15 narudi kuendesha fuso yangu angalau nifike hata chalinze;nyie muendelee kulalamika tu....kwa nini mvua zimezidi..mara leo baridi n.k wakati ni ukuta...msiteseke na baridi au kwa kujifunika ngumi wakati mablanketi yapo kila kona yanauzwa kwa kila bei
Series upendi?
ha ha ha shauri yako mi natoa ushauri tuπππππ fala sana ww.
Dr ndio ameniconsult na niafya kitabibu sasa mm ninani nipinge maagizo ya Dr πππππha ha ha shauri yako mi natoa ushauri tu
Wanawake mnapenda sana series za drama nitofauti sana kwangu mm hizo siziwezi kabisa.
Kuna mmoja hapa anasema anakunywa kahaw na hajui madhara yake...ebu anza naye utupe mrejeshoNifundishe kua na madanga na michepuko jaman niwe na mablanket yangu spesheli
Yupo anakagua anahisi kaibiwa huyo πππππBradha anapita kimyakimya hatak shobo
Ushaona 3 sides of anna?! Napenda sana ilechanel ya novela
[emoji23][emoji23] niende akanikamie mm nikufeKuna mmoja hapa anasema anakunywa kahaw na hajui madhara yake...ebu anza naye utupe mrejesho
Wanawake mnapenda sana series za drama nitofauti sana kwangu mm hizo siziwezi kabisa.
ha ha ha ha huyo atakuwa mfanyabiashara daktariDr ndio ameniconsult na niafya kitabibu sasa mm ninani nipinge maagizo ya Dr πππππ
Tulia mrejesho nitaufungulia uzi πππ utaupata huko.Kuna mmoja hapa anasema anakunywa kahaw na hajui madhara yake...ebu anza naye utupe mrejesho
Hahahaha utawajibika shauri zakoYupo anakagua anahisi kaibiwa huyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
mm siziwezi hizo nataka action tu.
Ushaona 3 sides of anna?! Napenda sana ilechanel ya novela
ππππ njouchukue we siunamichepuko mingi.ha ha ha ha huyo atakuwa mfanyabiashara daktari
ha ha ha ha huwezi kufa bali utapata ile furaha ya hawa pale bustanini[emoji23][emoji23] niende akanikamie mm nikufe