Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ndio tulime sasa.Hii mvua nayo kama inanyesha inyeshe tuu
Ndio tulime sasa.Hii mvua nayo kama inanyesha inyeshe tuu
Sawa,nitakuwa nafanya ivyoKumbee siri sirini ndo uwe unenitonya ss
Hapana haiwezekani kabisa.Hapana utapata bonus[emoji23] ila sio mgawano
Ewaaa mapera yale makubwa kama kicha cha mtt sio?! Sema maboga yawe na unga ndani sio majiUnataka maua kwani we nyuki? Zawadi ya mapera na maboga[emoji23]
Usisuseeeee nitalia tutagoma dada kilanja wetuNdio nmesusa[emoji24]
Naona inasitasita tuHii mvua nayo kama inanyesha inyeshe tuu
Msimu wa vitunguu huuu kulima muhimuNdio tulime sasa.
Vp majirani zako wa maombi 😆😆
Ronny2010 nakuona kwambali
Haya nmekuja usigomeUsisuseeeee nitalia tutagoma dada kilanja wewe
Ndiyo makubwa,na maboga safi kabisa yanafaa kwa besidei.....matam zaidi ya kekiEwaaa mapera yale makubwa kama kicha cha mtt sio?! Sema maboga yawe na unga ndani sio maji
Njoo msongola huku nikupe eneo 😆😆Msimu wa vitunguu huuu kulima muhimu
Eti inatakiwa inyeshe tulale fofofoooNaona inasitasita tu
Salama kabisaaaHabari za kipindi kilichopita wapendwa
Gud tu hommie.Habari za kipindi kilichopita wapendwa
Ewaaa zawad ushaleta ss bado tu mm kupokeaNdiyo makubwa,na maboga safi kabisa yanafaa kwa besidei.....matam zaidi ya keki
Vp majirani zako wa maombi [emoji38][emoji38]
Itanyesha kesho Hui,ila nilipo nje kuna manyunyuEti inatakiwa inyeshe tulale fofofooo