Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Niko na msuli tu 😆😆Hukuja na koti mkuu
Niko na msuli tu 😆😆Hukuja na koti mkuu
Life is toogh out hereDah hongera Sana kula mema ya nchi
Unanichukulia namba kimyakimyaNilikuja kushika namba na kuondoka,sasa unaondokaje wakati nilikuchukulia namba yako mapema
Saaana yaani wamelala uchiWakubwa wanafaidi
Nakutani bhana 😆😆
SaaaanaLife is toogh out here
Kabisa ndugu yangu.Kulinda unaweza kulinda na visivyolindika
Safi
Ndiyo.....sikutaka Super Villain ajueUnanichukulia namba kimyakimya
😆😆😆[emoji23]nilisahau kua wanalinda na cctv
Mshahara tutagawana au?Leo lilindeni wote ila pakiibiwa siwaachi salama
Kumbee siri sirini ndo uwe unenitonya ssNdiyo.....sikutaka Super Villain ajue
Unataka maua kwani we nyuki? Zawadi ya mapera na maboga😂Egmheee nmekuja zawadi ni nn majani ya milimani au maua
Hapana utapata bonus[emoji23] ila sio mgawanoMshahara tutagawana au?
🙉🙉🙉Saaana yaani wamelala uchi