Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Fanya hivyo sasa wafurahi watakukumbukaje mwaka ndio unaisha hivyo.
Fanya hivyo sasa wafurahi watakukumbukaje mwaka ndio unaisha hivyo.
Nawatakia lindo jema. Nimepita kuwasalimu wapendwa
Nimefurahia umetiiHaya nmekuja usigome
Nenda buguruni au buza uko ukawaombe wazee wasimamishe mvua 😆😆😆[emoji23][emoji23][emoji23]kesho isinyeshe tufue khaaa
Asante mkuuNawatakia lindo jema. Nimepita kuwasalimu wapendwa
Saea mtabiri wa hali ya hewaJua litawaka ila itanyesha
😂😂😂Nenda buguruni au buza uko ukawaombe wazee wasimamishe mvua 😆😆😆
Niko powa honey. I hope you will be safe with other guards chini ya kikanja Goddess
Aingie dukani au kkoo akanunue mavazi 😆😆😆 jua tumelichoka.Jua litawaka ila itanyesha
Nikipataa sugu si utanishangaaYaan mnapenda vitu rahisi nyie wadada wasiku hizi hutaki hata kupata sugu ww.
Niliangalia utabiri wa TMA siyo mmSaea mtabiri wa hali ya hewa
Kwanza nitalimisha bei sawa na bure[emoji6]Utaenda kuchota na ndoo
Sitakushangaa nitakupa tuzo ya malikia wa nguvu.Nikipataa sugu si utanishangaa
Jiandae kulala mlinziUsingizi unaniwinda
Jua saizi ni muhimu,watu wafanye biashara maandalizi ya xmasAingie dukani au kkoo akanunue mavazi 😆😆😆 jua tumelichoka.
[emoji4][emoji4] hutii amri ya kaka mkuu muhimuNimefurahia umetii
Buza hakuna wachawi buguruni pia labda niende kimboka[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda buguruni au buza uko ukawaombe wazee wasimamishe mvua [emoji38][emoji38][emoji38]
Fanya hivyo sasa wafurahi watakukumbukaje mwaka ndio unaisha hivyo.
KumbeeeeeNiliangalia utabiri wa TMA siyo mm