Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,288
- 40,913
Hapo kwa wale wasioamini uwepo wa Mungu unaweza kuamini kwa takwimu hiziKim ung-yong ambae aliweza kuongea lugha 4 alipokua na miaka 2, aliweza kufanya hesabu za aljebra akiwa na miaka 3, alialikwa wanafunzi wa fizikia chuoni alipokua na miaka 4, alialikwa Marekani kwenye kitengo cha NASA akiwa na miaka 7, alipata PHD yake akiwa na miaka 15, alikua na IQ ya 210.
C&P
Wale wanaume wakitunda wahaya wauza mayai[emoji23][emoji23][emoji23] na wale wa mbagala wauza maembe ni mwendo baiskeli nahisi wanapumzi za farasiBuza kuelekea goms,chanika,Mkuranga huko........wale unaowaona na baiskeli za mkaa na mayai wakipiga pedal za baiskeli wale wale huku katikati ni al kasusu na juice ya muwa
Hajui anaweza kuwa mpenzi mtazamaji😂Hivi ukimwita mtu mpenzi lazima muwe mnaunganisha viungo vya uzazi?
Hivi ukimwita mtu mpenzi lazima muwe mnaunganisha viungo vya uzazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah ww na ww bwana basi sisi tuoenane za mavumbini
Mkuu mi kijijini kwetu nimeendesha sana zile baiskeli za aina ile,ila zile zao hazina services kabisa.....ngumu sana nimewahi jaribu moja nikamuuliza mbona ngumu hivi....wale hatariWale wanaume wakitunda wahaya wauza mayau[emoji23][emoji23][emoji23] na wale wa mbagala wauza maembe ni mwendo baiskeli nahisi wanapumzi za farasi
Ndivyo tulivyokuzwa kwa maana hiyo. Kama hukumaanisha hivyo,basi nimekosea mimi,niwie radhi.
hilo neno nzito kwa mwanaume lakini kuitana nyie wanawake kwa wanawake mnaweza.Hivi ukimwita mtu mpenzi lazima muwe mnaunganisha viungo vya uzazi?
Hahaha phoenix mpaka imebadilika rangiMkuu mi kijijini kwetu nimeendesha sana zile baiskeli za aina ile,ila zile zao hazina services kabisa.....ngumu sana nimewahi jaribu moja nikamuuliza mbona ngumu hivi....wale hatari
hilo neno nzito kwa mwanaume lakini kuitana nyie wanawake kwa wanawake mnaweza.
Yameisha, nilishanuna
Aaah kuanzia hapa buguruni mataa kuelekea vingunguti ukonga goms kigogo chanika mpaka kisarawe ukipita hiyo barabara lazima ukutane nao hao watu.Buza kuelekea goms,chanika,Mkuranga huko........wale unaowaona na baiskeli za mkaa na mayai wakipiga pedal za baiskeli wale wale huku katikati ni al kasusu na juice ya muwa
Cheka mpenzi niyaone yako meno,na utupie na kimombo kwa uzuri wa maneno.
Je nikwambie zuri neno ?
Usijizoeshe sasa.Ukilizoea kulisikia hutashtushwa.
Limenijaa mdomoni sana...
Usinune mkuu,utaharibu lindo,endelea kutabasamu tuendelee kufurahia hizo dimpozi (kidding)Yameisha, nilishanuna
Usijizoeshe sasa.
Naona kausingizi kamemuiba
Usinune mkuu,utaharibu lindo,endelea kutabasamu tuendelee kufurahia hizo dimpozi (kidding)