Pole wengine haya watatizo ya kukosa usingizi tushakuwa chronic nayo.
Kungekua na sindano zingenihusu ila kula madonge sipendi aku[emoji23][emoji23][emoji23] I knew it you won't agree with that.
πππ I knew it you won't agree with that.
Mkuu, hivi ving'eng'e vyote hivi halafu unaniambia maswala ya Kayumba π π πTumia dawa kama solution if you don't have other options?
Unalinda mpaka saa ngap?!Ok, poa.Karibu lindoni
Kunasiku ndio zinakuwa mbaya zaidi unalala 1 hr tu alafu unaamka unaendelea na shughuli nyingine.
Nitakuletea valiumKunasiku ndio zinakuwa mbaya zaidi unalala 1 hr tu alafu unaamka unaendelea na shughuli nyingine.
Wallah katika wtt kwetu waliosoma shule mbaya mm ni namba 1 πππ English yangu ni nyimbo za kimalekani na movie & series.Mkuu, hivi ving'eng'e vyote hivi halafu unaniambia maswala ya Kayumba π π π
Wewe sema tuu mlitumia international sylabus
Sijui kama nitazidi 30 mn kuanzia sasa.Unalinda mpaka saa ngap?!
[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kama nitazidi 30 mn kuanzia sasa.
Nina vibarua vyangu kesho asbh π π
Yaan nn tena wakati niko normal mm in nature sipendagi kutumia dawa mm.Nitakuletea valium
Kunasiku ndio zinakuwa mbaya zaidi unalala 1 hr tu alafu unaamka unaendelea na shughuli nyingine.
Pyee muone vile kumbe nan ndo ulitaka akunywe midawa[emoji23][emoji23][emoji23]Yaan nn tena wakati niko normal mm in nature sipendagi kutumia dawa mm.
Kunasiku ndio zinakuwa mbaya zaidi unalala 1 hr tu alafu unaamka unaendelea na shughuli nyingine.
πππ dah poa mwana.Sijui kama nitazidi 30 mn kuanzia sasa.
Nina vibarua vyangu kesho asbh π π
[emoji23][emoji23]mm nikilala unaweza nihamisha ukanipeleka hata mtaa wa2 sijui wala siskii hata mfanye nn sishtuki hasa usingizi wa alfajiriAisee mm mtu akiwasha taa hapo nashtuka au kufanya movement yeyote nakosa usingizi hadi niusake tena kwa kuwaza au nyimbo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuwa njema hata kidogo, ndo maana niko hapa najaribu kupoteza mawazo maana usingizi umenigomea kabisa. Yako je, ilikuwa poa?Siku imeendaje lakini?