Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Ubarikiwe
Usijali nikienda nitafanya hivo..
Usijali nikienda nitafanya hivo..
[emoji467][emoji467][emoji467]People wamerara
I dedicate you Heat[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] by Chris BrownGood night my people.
Good morning my people.
Jitahidi moyo uwe nao.Moyo wangu sina
Hahahaha, si ndio uliichaguaMzuka wapi. Iko kama anwani
😁😁😁mtaa kwa mtaaElegance sinza nani yuko mitaa hiyo,nafanya patrol kuona ulinzi ukoje
Yes,nimegundua watu wanategemea sana lindo[emoji16][emoji16][emoji16]mtaa kwa mtaa
Yule mrembo yellow flani bado anakuita mze?Yes,nimegundua watu wanategemea sana lindo
Hahahaha, Niko na kikosi Kazi tunafanya patrol ,Mkuu , mie sio kijana, HahahahaYule mrembo yellow flani bado anakuita mze?
Hata wazee wanaitwa tuu... lolHahahaha, Niko na kikosi Kazi tunafanya patrol ,Mkuu , mie sio kijana, Hahahaha
Hahahaha, haya banaHata wazee wanaitwa tuu... lol
Hongera mkuu umekabidhi lindo likiwa salamaDoria kenda ,doria Kenda , ova .....na lindo liko wazi, ova
Naona walinzi wamelala ngoja dedenda la doria nilipeleke mitaa ya mbezi chini kuleHongera mkuu umekabidhi lindo likiwa salama
Walinzi hawaelewi huu ni ulinzi shirikishiNaona walinzi wamelala ngoja dedenda la doria nilipeleke mitaa ya mbezi chini kule