Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,188
- 100,813
Sawa, vzrKuzimua lazima mkuu.
[emoji1787][emoji16]Nawaonea huruma Netflix wakatengeneza ma siriz wee afu tunayapakua bure torrents
Na mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni MEπConnection only that matter
Hahahaaa hata mm nilikua najua ni me.. wasiliana na UongoziNa mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni MEπ
Na mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni ME[emoji6]
[emoji15] u have fooled us all, Ila bila shaka sasa huko pm Mambo ni[emoji91]Na mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni ME[emoji6]
Unayo tayariNa mimi nataka tuzo[emoji6]
Kila nikija online haupo[emoji25]Bilashaka wewe ni mod, haiwezekani uweze kubadilisha I'd kama unabadilisha mashati[emoji6]
Kuna mwanamke mwenzio pia alinambia we ni MENa mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni ME[emoji6]
Ongeza na ndizi mbivu.Kuna habari gani usiku huu? Nimekunywa Nyagi, nakula nanasi na ubwabwa nijaribu kulala! Naona kama vile tumbo linaanza kuimba nyimbo sizielewi.....
Konyagi+wali haha.. That's combination is quite interesting. Utaumaliza usiku Salama kweli mkuu bila tumbo kuzingua?Kuna habari gani usiku huu? Nimekunywa Nyagi, nakula nanasi na ubwabwa nijaribu kulala! Naona kama vile tumbo linaanza kuimba nyimbo sizielewi.....
Unataka akakeshe chooni huku joto la mwili likimpanda miserably πππOngeza na ndizi mbivu.
ππππndicho anachotafutaUnataka akakeshe chooni huku joto la mwili likimpanda miserably πππ
Leo ndo nimejua.. Why were you behaving like a man?Na mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni MEπ
Halafu mida hii humu panapwaya sana.Usingizi wa kutafuta....Hauji