Tuko maeneo tofauti,kwahiyo muda unatofautiana.Ofisi imefungwa
Tuko maeneo tofauti,kwahiyo muda unatofautiana.Ofisi imefungwa
OkTuko maeneo tofauti,kwahiyo muda unatofautiana.
Yeah hapo umegusa. Ni wakati wa ubongo kurelax[emoji4][emoji4]Mida mida ya kusikiliza muziki laini
Upo my dear? Naona unaunga juhudi za mapopoz[emoji1]12:28am
[emoji23][emoji23][emoji23] alielala usimuamsheAmkeni amkeni...nje kuna wezi
Mida mibovu hiiSiku hizi mnawanga na simatifoni, uko kwenye ungo usiku za manane hapohapo unapyatila JF.
Kabisa.Mida mibovu hii
Mjini watu hawalali [emoji23][emoji23]Kabisa.
Mlio macho sasa hivi hampo Afrika Mashariki au mnawanga?