Kumbe ndio wewe ndio ulikuwa na ID ya dark angel nilikuwa najiuliza utakuwa MTU wa maovu Ndugu Yake shetani,ila jibu nililipata kwa zile picha kwenye Uzi wa mshana,your too beutifull my dear, na mavazi yako ya kistaarabu sana,kumbe hiyo dark ya ngozi yakoUnaipenda ya dark angel?
Ilikuwa inanifanya nakuwa mkorofi. Jina huumba
Isiwe ya kiutu uzima saana ambayo hata denda hakuna,maana am 27 naona kuna mambo ndio nayaacha sasa.The note book 2004 utaipenda
Gonga meza na umshukuru jiweNaUnGa MkOnO hOjA....
Mbona mavazi ya kistaarabu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ya kweli haya mkuu?Kumbe ndio wewe ndio ulikuwa na ID ya dark angel nilikuwa najiuliza utakuwa MTU wa maovu Ndugu Yake shetani,ila jibu nililipata kwa zile picha kwenye Uzi wa mshana,your too beutifull my dear, na mavazi yako ya kistaarabu sana,kumbe hiyo dark ya ngozi yako
Isiwe ya kiutu uzima saana ambayo hata denda hakuna,maana am 27 naona kuna mambo ndio nayaacha sasa.
Ulivobadilisha lile na tabia ikabadilika.Hahaaaaaaaa kama kile langu la kwanza
Huyo ted bear anafaidi,ila hapo ndio kusema unamaanisha
Ulivobadilisha lile na tabia ikabadilika.
Kila username na tabia yake.
Ninamaanisha kwamba nikilala nitakumbatia mdoli[emoji28]Huyo ted bear anafaidi,ila hapo ndio kusema unamaanisha
Hahah, wanasemaga kwenye meti hakuna wajenzi,ikufariji hiiNinamaanisha kwamba nikilala nitakumbatia mdoli[emoji28]
Inabidi tufanye resistance na hao midoli ted bear na wenzake,haiwezani wakumbatiwe na sinyori kama wewe.,Ninamaanisha kwamba nikilala nitakumbatia mdoli[emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28]turudishe majina yetu ya zamani.Yeaaah kweli majina huumba.
[emoji28][emoji28][emoji28]turudishe majina yetu ya zamani.
Asante kwa dedication. Nimefarijika[emoji28]Hahah, wanasemaga kwenye meti hakuna wajenzi,ikufariji hii
Itakuwa inafaidi sana eti[emoji28][emoji28][emoji28]Inabidi tufanye resistance na hao midoli ted bear na wenzake,haiwezani wakumbatiwe na sinyori kama wewe.,
Eeeh,niliona kwa uzi wa mshana,huwezi amini ile thread watu ambao hawachangii ndio wasubilia picha,nilisubilia yako na nikaiona,nilivyoiona nikasema naamMbona mavazi ya kistaarabu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ya kweli haya mkuu?
Hautaki kuishi kwenye past yako[emoji28][emoji28]No kwakweli hapa hili tu nasubiria nikibadilishe muda tu