JamiiForums Usiku wa manane
Kwanini umebadili? Nilipenda lile jina lako
Feb mwaka huu ilizinduliwa muvi ya Captain Marvel iliyochezwa na Brie Larson..nampenda sana huyu mwanamke very wife material na yuko sexy. Kwakua ana jina la kike hvo sikuona kama ni vzuri kutumia jina la kike. Kwenye muvi hiyo katumia jina la Carol Denvers kwa kifupi wansmwita "Vers" Nimelipenda kabisa hilo jina ndio nikaona nibadili kutoka Da'Vinci to Denvers.
Usichanganye na Denver (bila s ) wa kwenye money heist. Denver ni sehemu iliyoko corolado huko usa

Nina mpango kurudisha Davinci after 1 month
 
Mpenda movie mwenzangu ok nimekuelewa
 
Back
Top Bottom