JamiiForums Usiku wa manane

Kwa sababu imezoeleka kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu, duni kwa hiyo ukiitwa hivyo unaona umetwezwa
Mnaonewa sana...Hata tendo linalotendwa na wote still mwanamke ndo anaonekana mtendwa..Utasikia yule kaliwa na flani ila sio wamekulana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…