JamiiForums Usiku wa manane
Jamani wapendwa naomba niwakimbie, mbaki salama
Jirani leo ninaharaka sana sihitaji kusindikizwa
Kuwa makini tu jirani.

Maana kuna mtu huku alijaribu kuwa na haraka zaidi ya upesi.
Jiulize kilimpata nini?

Kesho nitakwambia.

Usiku mwema jirani
 
Back
Top Bottom