Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,067
- 124,587
Ooh sawaHapana, nimekuja kusalimia.
Nina shift yangu baadae karibia na kufunga.
Ooh sawaHapana, nimekuja kusalimia.
Nina shift yangu baadae karibia na kufunga.
Kumbe ulikuwa unatutisha.
Sent using simu mbovu
Mnajua kuwajibika sasa....
Kaka zako si wamenirudisha....
Nimeambiwa nipunguze uvivu
[emoji23][emoji23][emoji23] karibu tenaKaka zako si wamenirudisha....
Nimeambiwa nipunguze uvivu
Nikikuona adrenaline zinapanda nakuwa na uwezo wa kufanya kazi masaa mengi
[emoji23][emoji23][emoji23] karibu tena
Kaka zake?
Hicho kizungu sasa.
Unamaanisha Mzuka unapanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswa, mzuka.
Tuyaache hayo
HawapoKamwene wote mnao sinzia lindoni.
Wakati ukifika nitakutoaMimi nitoe kwenye kundi la kaka zake isije ikanipa taabu mbeleni huko.
Kamwene wote mnao sinzia lindoni.