lun
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 666
- 745
Haha natoka Koma na btw kibera ni kubwa,sijaikua kibera maybe kupita tu na gari mkuuKwanini unakana mtaa wako mkuu mbona octopizzo anakubali mtaa wake na yuko vizuri tuu.
Ace,ntafikisha[emoji120]Wape pole ndugu zangu wa turkana.
Sawasawa mkuu kuna chalii anaitwa mwalimu zilla anatokea maeneo hayo,vp unamfahamu?.Haha natoka Koma na btw kibera ni kubwa,sijaikua kibera maybe kupita tu na gari mkuu
Wasee wa airborne latrine..Nai nawakubali mkuu wape hi kibera.
Haha hapana,enyewe ntamjua aje hahaSawasawa mkuu kuna chalii anaitwa mwalimu zilla anatokea maeneo hayo,vp unamfahamu?.
Huyo chalii ni famous hapo nai.Haha hapana,enyewe ntamjua aje haha
Mwenzio mi ndo naachia lindo.Huu ndio mtaa wa kuchora ramani mamalamama,kazi yangu ya wizi ngumu sana.
Nimekuja kufunga lindo.
Uje ufungue sasa
Ushafungua tayari
Umenitegea kwa sekunde. ....
Nimekuona umelike post kwenye thread ya marekebisho, nikahisi unakuja huku.