JamiiForums Usiku wa manane

Naheshimu viapo vya watu mkuu. Hata chakwangu ambacho sio rasmi nakiheshimu pia [emoji23][emoji23][emoji23] ili kije kuwa rasmi.

Usiwe na shaka na mimi.
 
Duuh namimi leo usinhizi umekata, natamani kama nipigane vile ila something tells to to be calm..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa " wewe kuwa mpole tu hivyo hivyo .. maana falsafa yangu ya maisha huwa inaniambia kwamba maisha ya binaadamu ni kama shilingi tu " ....lazima iwe na sura 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli japo unaweza kudhani kuwa upande wa pili kuna kifaru lakini kumbe sio bali kuna swala au simba.

Mara nyingi tunapenda kuamini maneno ya watu wengine kuhusu mtu fulani lakini ni ngumu kuamini maneno ya mtu fulani kumhusu yeye. Ni human nature. [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…