Haha maybe utakuwa umeshachukua uraia wa tz ...who knows " !? kuna tofauti kubwa kati ya uraia mtu katika nchi na asili ya mtu kitaifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ace,fiti bro
Hapa ni home, hata nikiwa prodigal son nikirudi nipokeeni tuUsiibe sana. ...tukakupoteza.
Wewe ni mchina kilugha au mchina kinasaba ?
Dah. Ujue dada yangu Khantwe yupo humu atashangaa sana maneno unayoniambia unanikuza kwa nguvu.
Maliza huko nitakuelesha baadae
Hapa ni home, hata nikiwa prodigal son nikirudi nipokeeni tu
Unapenda kunichanganya changanya kama uji wa mgonjwa. Nimalize wapi na nimalize kufanya nini ?
Teh teh leo tutajua tu....
Ahahaa .... jamaa itakuwa kuna new member mdada una mnyapia nyapia humu " -- so wajaribu kuongeza sifa za u-decent wako ili ajitege kwenye nyavu ulizo mtega !!Dah. Ujue dada yangu Khantwe yupo humu atashangaa sana maneno unayoniambia unanikuza kwa nguvu.
Ndio maana huwa ananikataza mda mwingine nisiingie JF.
Hahaha wala sihitaji ku prove chochote kwa mtu yeyote JF. Wanaonifahamu wanajua decency yangu. Hao tu kujua inatosha. [emoji119]Ahahaa .... jamaa itakuwa kuna new member mdada una mnyapia nyapia humu " -- so wajaribu kuongeza sifa za u-decent wako ili ajitege kwenye nyavu ulizo mtega !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anaitwa Cr7 katusababisha tuwe macho hadi saizi
Hata mimi najua hilo " lakini hapa nimeona dalili za kuzidisha zaidi ... nikajikuta napata shaka .... wajua watu ambao ni ma-decent ndio wanao ongoza kwa kutuvunjia ndoa zetu na wake zetu ....Hahaha wala sihitaji ku prove chochote kwa mtu yeyote JF. Wanaonifahamu wanajua decency yangu. Hao tu kujua inatosha. [emoji119]