[emoji3][emoji3][emoji3] ulikuwa mtundu, mimi hivyo vijarida nilikuwa nasoma kwa kujiiba sanaaa maana nikionwa ni shidaMimi nilikuwa nasoma sana hadithi za mapenzi kwenye magazeti ya Sani, Amba, Tabasamu na Bongo, na vijarida vidogo vidogo. Kwa hiyo kichwani mashairi yalikuwepo.
[emoji3][emoji3][emoji3] ulikuwa mtundu, mimi hivyo vijarida nilikuwa nasoma kwa kujiiba sanaaa maana nikionwa ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] kingekuwa kinasoma kingekuumbua kama kilee ulichokuwa unakikopia kwenye mine boyVile vijarida vimenifundisha aisee, na nilikuwa na kifaa changu hicho, ndo najifunzia kushusha mistari. Kikawa kinajua nayatoa kichwani maskini.
[emoji23][emoji23] kingekuwa kinasoma kingekuumbua kama kilee ulichokuwa unakikopia kwenye mine boy
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni shida, I hope umeacha uhuni huo wa kukopikopiNdo huyo huyo, hayo majarida alikuwa hasomi, hata akiyaona anasoma vikatuni tu.
Sasa mimi hadi kuna kitabu cha Willy Gamba, kinaitwa Njama niliwahi kuokota mistari mule, kuna dada anaitwa Veronica alisifiwa sana mule.
Mimi nakariri naenda kumshushia sifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni shida, I hope umeacha uhuni huo wa kukopikopi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweli aiseeHahaha, umri umeenda, ila kusoma vitabu kunasaidia sana kujiamini unapoelezea jambo, hicho kitu kinanilinda sana hata napokuwa kwenye arguments za kawaida.
Nzuri kabisa, za wewe?Za miaka?
View attachment 1036481
Hapana, tuko msibani!Mpoo lindoni...
Unayemdai Yupo hapaleo nimebet silali nasubir hela yangu hapa
Kumbe ndo wewe? Sikuwa na uhakika. Nilikuwa nabahatisha tu. Zipo nyingi mahali fulani nimeziona.Nzuri kabisa, za wewe?
Hiyo picha yangu umeipata wapi jamani?[emoji6]