Mwenye akili? Haya nijuze mi simjui.
I will one day revenge, unless I die before you.
Unajua leo mashabiki walikua wengi aisee wengine sijui walitokea wapi walitaka kunikaba mzee, nikaona nitoke lindoni kidogo nirudi baadaeUnayumba, kisa tu kichapo cha mwarabu unakimbia lindo [emoji23]
Kwanini usiseme ndoa lini jamani wewe hustahili mke wenza kwa uzuri huoNitakuwa mke wa Ngapi?
Muda unapoteaje?
Kwanini usiseme ndoa lini jamani wewe hustahili mke wenza kwa uzuri huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukosei mzee, hebu tuma na picha kabisa ya shemeji niendelee kukusifia kwa machaguo yakoKwanini mtaalamu ?
Vizuri.Miongoni mwa sifa za mtu mwenye akili ni mwenye kujizuia kufanya yale yote yenye kuidhuru afya ya mwili wake,mwenye kujizuia kufanya yale yote yenye kuidhuru afya ya akili yake,mwenye kujizuia na yote yenye kuidhuru mali yake,mwenye kujizuia na yale yote yenye kuidhuru nasaba(kizazi chake) yake.
Huyo ndio mtu mwenye akili bro !
Keki za wadongo zangu hizo Mzee.
Halafu mashahidi ni muhimu kuhakikisha Mr Miller anatimiza lengo, maana tunaanza kula za birthday, tunalazimisha vikao vya harusi, tunakula ya harusi.
Hukosei mzee, hebu tuma na picha kabisa ya shemeji niendelee kukusifia kwa machaguo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Ubajua leo mashabiki walikua wengi aisee wengine sijui walitokea wapi walitaka kunikaba mzee, nikaona nitoke lindoni kidogo nirudi baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaa nikupe kazi ya consultation katika kituo changu cha afya maana unaushauri mzuriMiongoni mwa sifa za mtu mwenye akili ni mwenye kujizuia kufanya yale yote yenye kuidhuru afya ya mwili wake,mwenye kujizuia kufanya yale yote yenye kuidhuru afya ya akili yake,mwenye kujizuia na yote yenye kuidhuru mali yake,mwenye kujizuia na yale yote yenye kuidhuru nasaba(kizazi chake) yake.
Huyo ndio mtu mwenye akili bro !
Sio Magu
Gaiii. Sio poa kabisaaa [emoji23]
Unafaa nikupe kazi ya consultation katika kituo changu cha afya maana unaushauri mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakimbia wapi saa hizi ukijikwaa ukaumia je?[emoji126][emoji126][emoji126]
Njoo ule ya Anniversary miaka 10....wiki ijayo basi [emoji6][emoji6][emoji6]
Unafaa nikupe kazi ya consultation katika kituo changu cha afya maana unaushauri mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye vikao vya harusi ehhh nani huyo abachukuliwa ni bbade oh nooooooooooooo nitapiga mtuKeki za wadongo zangu hizo Mzee.
Halafu mashahidi ni muhimu kuhakikisha Mr Miller anatimiza lengo, maana tunaanza kula za birthday, tunalazimisha vikao vya harusi, tunakula ya harusi.
Unakimbia wapi saa hizi ukijikwaa ukaumia je?